Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth ametangaza kuwa Marekani imefanya shambulio lingine dhidi ya meli inayodaiwa kuwa ya walanguzi wa dawa za kulevya. Operesheni hiyo ilifanyika katika Bahari ya…
Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema nchi yake iko tayari kuanza tena mazungumzo ya kibiashara na Marekani endapo Wamarekani watakuwa tayari. Matamshi yake yanakuja baada ya Rais wa Marekani…
Lakini safari hii Madrid wakiongozwa na mshambuliaji aliye katika kiwango kizuri Kylian Mbappe wamesema kuwa wanataka kushinda mechi hiyo Jumapili kwenye LaLiga. Kikosi cha Hansi Flick kilishinda mataji matatu ya…
Klabu ya Azam FC imefuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa mara ya kwanza tabgu klabu hiyo kuanzishwa miaka 21 iliyopita kufuatia ushindi wa jumla wa…
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Novemba 3, 2025. Hatua hii ni baada ya upande wa Jamhuri kusema hawana shahidi…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limepokea magari mapya mawili aina ya Robur Armored TLC 300 ambayo yatasaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha utendaji wa kazi za kila siku. Magari hayo…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea kutekeleza sera ya utoaji wa asilimia 80 ya bei ya zao la…
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo ametangaza siku ya Jumatano Oktoba 29,2025 kuwa siku ya mapumziko ili kuwawezesha watumishi wa umma na wafanyakazi kushiriki kupiga kura. Siku hiyo ni…
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeikataa ripoti ya uchunguzi wa uhalisia wa picha mjongeo (video clip) ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu anayeshitakiwa…
Shirika la Reli ( TRC) limetangaza kurejea kwa huduma baada ya ajali ya treni kutokea maeneo ya Ruvu mkoani Pwani.Treni ya mwendo kasi imepata ajali leo Oktoba 23,2025 ambayo taarofa…