Mwanamume anayetuhumiwa kumuua waziri mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amekiri hatia katika siku ya kwanza ya kesi yake. Tetsuya Yamagami, 45, aliiambia mahakama katika mji mkuu Tokyo kwamba…
Watu 12 wanahofiwa kupoteza maisha kufuatia ajali mbaya ya ndege iliyotokea katika eneo la Simba, Kaunti ya Kwale, Pwani mwa Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa…
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan leo anahitimisha kampeni za chama hicho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.…
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ( kulia pichani) amefichua siri kuwa hakuwahi kumuomba aliyekuwa Rais wa wakati huo Joe Biden ( kushoto pichani) kujiondoa katika kinyang'anyiro cha…
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ( kulia pichani) amefichua siri kuwa hakuwahi kumuomba aliyekuwa Rais wa wakati huo Joe Biden ( kushoto pichani) kujiondoa katika kinyang'anyiro cha…
Mabao kutoka kwa Kylian Mbappe na Jude Bellingham yameifanya Real Madrid kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona katika mechi kali ya El Clasico. Ushindi huo umeiondolea unyonge Madrid…
Manchester City wamepata kipigo chao cha kwanza tangu Agosti, huku bao lao la Matty Cash kipindi cha kwanza likiipatia Aston Villa ushindi wa 1-0 kwenye Ligi ya Premia Jumapili, ukiwa…
Eberechi Eze amefunga bao lake la kwanza la Ligi ya Premia akiwa na Arsenal na kuipa ushindi wa 1-0 dhidi ya klabu yake ya zamani Crystal Palace siku ya Jumapili.…
Klabu ya Yanga imemuajiri kocha wa zamani wa Angola , Pedro Goncalves kuwa mkufunzi wao mpya akichukua nafasi ya Romain Folz. Mkufunzi huyo wa Ureno amechukua mikoba ya kocha wa…
Paris Saint-Germain imeshinda baada ya kukosa matokeo katika mechi mbili za ligi kuu ya Ufaransa, maarufu Ligue 1 ilipoilaza Brest 3-0 Jumamosi kuchukua nafasi ya Marseille kileleni mwa msimamo. Mabingwa…