Samia kufunga kampeni Mwanza

Samia kufunga kampeni Mwanza

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan leo anahitimisha kampeni za chama hicho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Katika mkutano huo wa kilele cha kampeni, Dkt. Samia anatarajiwa kuinadi kwa mara ya mwisho Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa wakazi wa Mwanza na mikoa jirani, kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *