Iran ina uwezo wa kuanza kurutubisha madini ya uranium tena - kwa uwezekano wa kutengeneza bomu - katika "muda wa miezi kadhaa", mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la…
Mhandisi Jafari ajitosa kupambana na Babu TaleMhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jafari Iddy Fadhili Hegga ( pichani kushoto) amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwa…
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama hicho. Mchungaji Msigwa alijiunga na CCM…
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ester Bulaya, ametangaza kuwa atachukua fomu Jimbo la Bunda Mjini kupitia CCM. Bulaya pia alishawahi kuwa Mbunge wa…
Watoto 29 waliokuwa wakifanya mitihani yao ya shule katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wameuawa kwa mshituko baada ya mlipuko uliotokea karibu na hapo kusababisha hofu, mkurugenzi wa hospitali aliambia…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya amekanusha kuwa polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa maandamano ya Jumatano ambapo takriban watu 10 waliuawa. Kipchumba Murkomen alivishukuru vyombo vya usalama…
Sekta binafsi nchini imeanza kuchukua hatua madhubuti katika kuhamasisha mabadiliko ya kijani kupitia fedha ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuharakisha ajenda ya maendeleo endelevu ya taifa. Akizungumza leo jijini…
Baada ya minong'ono kuwa hawatocheza mechi leo dhidi ya watani wao Yanga baada ya kudaiwa kutotokea katika mkutano wa kupanga mechi, klabu ya Simba imesema kuwa itacheza mechi hiyo leo…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia ipasavyo Sheria na Miongozo ya Ardhi ili kuepusha ujenzi holela unaoigharimu…
Kuelekea mechi yao ya dabi dhidi ya watani Simba katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, nahodha wa Yanga Nsa Job amesema wapo tayari kwa ajili ya mechi…