Ruben Amorim amesema kuwa Manchester United iko kwenye vita ya kunusurika kwenye Ligi ya Premia baada ya kufungwa 2-0 na Newcastle Jumatatu na kumaliza 2024 katika nafasi ya 14 kwenye…
Ukaguzi wa kabla ya safari ya ndege ya abiria ya Jeju Air saa chache kabla ya kuanguka nchini Korea Kusini, na kuua watu 179, ulimeonyesha kuwa ndege hiyo ilikuwa haina…
Mastaa Angelina Julie na Brad Pitt wamefikia makubaliano ya kupeana talaka kufuatia vita vya kisheria vya miaka minane. Wawili hao waliofunga ndoa mwaka wa 2014 na kupata watoto sita, walikuwa…
Mahakama nchini Korea Kusini imetoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol kwa jaribio lake la kuweka sheria ya kijeshi tarehe 3 Disemba. Hati hiyo inajiri baada…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama hicho kuzitumia rasilimali vizuri kwa lengo la kukijengea…
“Ndugu zangu mashabiki, Wanachama na Wapenzi wa Klabu ya Yanga, naweza Kutumia maneno mengi kweli, naweza kutumia kila aina ya Sanaa ambayo Mungu amenijaalia kufikisha ujumbe huu mkafahamu umuhimu mkubwa…
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mheshimiwa Farida Mgomi amewaasa wananchi kuwa na utamaduni wa kuwashika mkono na kutoa misaada kwa makundi yenye uhitaji maalumu katika jamii. Amesema kwa kufanya hivyo…
Rais Joe Biden na Rais mteule Donald Trump wameongoza ibada ya Rais wa zamani wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Jimmy Carter, ambaye amefariki akiwa na…
Shambulio la papa katika ufuo wa Bahari Nyekundu nchini Misri limesababisha mtalii mmoja kupoteza maisha na mwingine kujeruhiwa, maafisa wamesema. Katika taarifa, wizara ya mazingira ya taifa hilo la kaskazini…
Maelfu ya wananchi wa Georgia waliandamana katika mji mkuu wa Tbilisi huku rais mpya anayeshirikiana na chama tawala cha Georgian Dream akiapishwa. Mikheil Kavelashvili, mcheza kandanda wa zamani, ameapishwa katika…