Man United Yamaliza Mwaka kwa Unyonge Baada ya Kulazimishwa Sare na Wolves
Manchester United imehitimisha mwaka 2025 kwa masikitiko baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Wolverhampton Wanderers, timu inayoshika mkia katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza. Wolves, ambao…









