Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio kando ya Mjadala wa Kimataifa…
Mechi ya Valencia ya Copa del Rey dhidi ya Parla Escuela imeahirishwa baada ya mafuriko makubwa nchini Uhispania. Takriban watu 62 wamefariki dunia baada ya mvua kubwa kunyesha nchini humo,…
Manchester United itakuja kuwa timu isiyozuilika, lakini itachukua muda na jitihada kubwa, anasema meneja wa muda Ruud van Nistelrooy. Mshambuliaji huyo wa zamani wa United na Uholanzi ataanza kuinoa Man…
Malkia wa urembo Chidimma Adetshina, ambaye amekuwa katika utata wa utaifa wake, atanyang'anywa utambulisho wake wa Afrika Kusini na hati za kusafiria. Idara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ilianza…
Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Marekani unasemekana kuwaweka njia panda wahamiaji kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanaoomba hifadhi katika nchi hiyo."Tunastahili usalama," anasema Dk Yves Kaduli, mtafuta hifadhi mwenye umri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Doha,Qatar ambapo anatarajia kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa kutimia miaka Thelathini ya Familia…
Erik ten Hag ametimuliwa ukocha katika klabu ya Manchester United hivi karibuni baada ya matokeo yasiyoridhisha. Makocha kadhaa kabla yake wamepita na kutimuliwa klabuni hapo pia. Sir Alex Ferguson ndiye…
Timu ya Serie A ya Italia iliyokumbwa na majeraha Genoa imetangaza kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Italia Mario Balotelli siku ya Jumatatu. Genoa ina wachezaji saba ambao ni majeruhi akiwemo…
Utawala wa Erik ten Hag kama meneja wa Manchester United ulifikia kikomo Jumatatu baada ya mwanzo mbaya wa msimu na kuwafanya Mashetani Wekundu kuporomoka hadi nambari 14 kwenye jedwali la…