Real Madrid imelazimishwa sare ya 1-1 na Girona kwenye LaLiga, huku Kylian Mbappé akiokoa jahazi kwa penati dakika ya 67 na kuendeleza mfululizo wa matokeo yasiyo ya ushindi kwa Los…
Chelsea na Arsenal wametoka sare ya 1-1 kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu England uliopigwa Stamford Bridge, licha ya The Blues kumaliza wakiwa na wachezaji 10 uwanjani. Chelsea walipata pigo…
Simba SC imeangukia kipigo cha pili mfululizo kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 2-1 na Stade Malien nchini Mali. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba…
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema wazi kuwa amekuwa “akiiba mbinu” kutoka kwa makocha wenzake baada ya timu yake kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Crystal Palace. Bao zote…
Arsenal imepata pigo kubwa baada ya William Saliba kuumia mazoezini na kukosa mchezo muhimu dhidi ya Chelsea. Gabriel pia hayupo, hivyo Arteta analazimika kuanza na Pierro Hincapie pamoja na Christhian…
Liverpool ilipata ushindi muhimu wa 2-0 dhidi ya West Ham huku Mohamed Salah akianzia benchi. Alexander Isak alipunguza presha kubwa juu yake kwa kufunga bao lake la kwanza kwenye EPL…
Bayern Munich walipata ushindi wa kusisimua 3-1 baada ya St. Pauli kuwasumbua kwa muda mrefu. Wageni walitangulia kupitia Hountondji, lakini Raphael Guerreiro alisawazisha kabla ya dakika ya mwisho ya kipindi…
Phil Foden aliibeba Manchester City baada ya kutupia mabao mawili muhimu, ikiwemo la dakika za majeruhi, na kuipa timu ushindi wa 3-2 dhidi ya Leeds. City waliongoza 2-0 kipindi cha…
Kiungo wa Chelsea, Moises Caicedo, amesema bado ana uwezo wa kuongeza makali zaidi kwenye mchezo wake kwa kufunga mabao na kutoa pasi za mabao, licha ya kutajwa na mashabiki wengi…
Watoto wawili wa Kipalestina wameuawa baada ya shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel katika mji wa Bani Suheila, mashariki mwa Khan Younis, Gaza ya kusini. Mashuhuda wameiambia Al…