Posted inSiasa
KAMATI YAUNDWA KUCHUNGUZA UWEZEKANO WA KUMWONDOA RAMAPHOSA MADARAKANI
Bunge la Afrika Kusini limeunda Kamati Maalumu itakayochunguza iwapo kuna msingi wa kisheria wa kumwondoa Madarakani Rais Cyril Ramaphosa kutokana na kashfa inayomkabili. Hatua hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama…









