MZOZO WA SAUDI ARABIA NA HOUTHI WAJOTO: PRINCE ABDUL AZIZ AAHIDI KULIPIZA KISASI BAADA YA MASHAMBULIZI YA YEMEN
Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Abdul Aziz bin Salman, ametangaza kuwa nchi yake itachukua hatua kali za kulipiza kisasi kufuatia mfululizo wa mashambulizi yaliyoleta maafa katika miundombinu yake…








