Ajax Amsterdam wamemteua John Heitinga kama kocha wao mpya, huku beki huyo wa zamani wa Uholanzi akisaini mkataba wa miaka miwili, klabu hiyo ilithibitisha Jumamosi. Heitinga, ambaye alikulia katika safu…
Klabu ya Singida Black Stars itacheza fainali ya kombe la CRDB Bank Federation Cup baada ya kuinyuka Simba Sc kwa mabao 3-1 katika mechi ya Nusu Fainali. Matarajio ya Simba…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa muda wa wiki mbili kwa uongozi wa wafanyabiashara wadogo (machinga) wa eneo la Kariakoo kuhakikisha wanafungua njia zinazozunguka soko hilo…
Chelsea wapo kwenye mazungumzo na wawakilishi wa Jadon Sancho kuhusu masharti ya mkataba mpya. The Blues wangependa Sancho abaki ikiwa wanaweza kukubaliana juu ya masharti ya mkataba ambayo yanaendana na…
Kikosi cha Simba kimeelekea Babati Mkoani Manyara kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Confederation Cup dhidi ya Singida Black Stars. Mechi hiyo itachezwa jumamosi…
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho kimependekeza kufanya mambo yake kisasa kuendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia kwa kufanya mikutano yake…
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa chini ya Mwenyekiti Rais Samia Suluhu imefanya uchaguzi wa wajumbe wapya wa Kamati Kuu katika kikao maalumu kilichofanyika leo Jumatano, Mei 28,…
Magwiji watatu wa kandanda barani Afrika - Samuel Eto'o, Emmanuel Adebayor na Jay-Jay Okocha - wameshuka uwanjani nchini Somalia Jumanne kwa ajili ya mechi ya maonyesho inayolenga kurejesha furaha nchini…
Sadio Mane hataichezea Senegal katika mechi ya kimataifa dhidi ya Ireland na Uingereza mwezi ujao baada ya kuomba kuachwa katika mechi mbili za kirafiki. Mane ndiye mchezaji pekee aliyekosekana kwenye…
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Rais Samia amemteua Dkt. Rhimo Nyansaho kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa…