Simba yaifuata Singida Black Stars

Simba yaifuata Singida Black Stars

Kikosi cha Simba kimeelekea Babati Mkoani Manyara kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB Confederation Cup dhidi ya Singida Black Stars.

Mechi hiyo itachezwa jumamosi ya wiki hii.

Kwa mujibu wa taarifa kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za Klabu ya Simba zimeeleza kuwa kikosi hicho kitapumzika Arusha kabla ya kuelekea Babati Mkoani Manyara hapo kesho.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *