Posted inHabari
Taiwani yachukia Somalia kuzuia raia wake
Taiwan imeilaani Somalia kwa kuwapiga marufuku wasafiri walio na pasipoti za Taiwan kuingia au kupitia nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Marufuku hiyo ilianza Jumatano kufuatia agizo lililotolewa na mamlaka ya…








