Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Rais Samia amemteua Dkt. Rhimo Nyansaho kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Nyansaho alikuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.

Dkt. Nyasaho anachukua nafasi ya Abdul-Razak Badru ambaye ameteuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

Pia amemteua Rhimo Simeone kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ( PSSSF).

Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *