Skip to content
Maulid Kitenge
  • Habari
  • Kimataifa
  • Siasa
  • Michezo
  • Habari
  • Kimataifa
  • Siasa
  • Michezo
  • facebook.com
  • twitter.com
  • t.me
  • instagram.com
  • youtube.com
Subscribe
Home » Archives for December 2025 » Page 2
RAIA WA GUINEA KUPIGA KURA JUMAPILI KATIKA UCHAGUZI WAO WA KWANZA WA URAIS
Posted inHabari Siasa

RAIA WA GUINEA KUPIGA KURA JUMAPILI KATIKA UCHAGUZI WAO WA KWANZA WA URAIS

Raia wa Guinea wanatazamiwa kupiga kura Jumapili katika Uchaguzi wao wa kwanza wa Urais tangu Mapinduzi ya Kijeshi miaka minne iliyopita. Kiongozi wa Kijeshi Mamadi Doumbouya anatarajiwa kushinda. Wakosoaji wanasema…
Read More
POLISI ZAMBIA APANDISHWA CHEO KWA KUKATAA RUSHWA YA DOLA 50,000.
Posted inHabari Siasa

POLISI ZAMBIA APANDISHWA CHEO KWA KUKATAA RUSHWA YA DOLA 50,000.

Tume ya kupambana na rushwa ya Zambia (ACC), imempandisha Cheo Polisi Mwanamke ambaye alikataa hongo ya Dola za Kimarekani 50,000 (Shilingi Milioni 124),kutoka kwa mshukiwa mkubwa wa Ulanguzi wa Pesa…
Read More
WAZIRI TAMISEMI ATAKA KILA MFANYABIASHARA SOKO LA KARIAKOO AKATE BIMA
Posted inHabari Siasa

WAZIRI TAMISEMI ATAKA KILA MFANYABIASHARA SOKO LA KARIAKOO AKATE BIMA

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Prof. Riziki S. Shemdoe ameelekeza kila Mfanyabiashara atakayefanya biashara katika Soko la Kariakoo lilokarabatiwa na jipya akate Bima ya biashara ambayo itamsaidia…
Read More
DKT. MWIGULU: MTENDAJI MKUU WA TEMESA NA MENEJIMENTI YAKE WAFUTWE KAZI
Posted inHabari Siasa

DKT. MWIGULU: MTENDAJI MKUU WA TEMESA NA MENEJIMENTI YAKE WAFUTWE KAZI

Aagiza uchunguzi ufanyike kubaini sababu za uharibifu wa mara kwa mara wa vivuko WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa…
Read More
Mshambuliaji wa Real Madrid Endrick ahamia Lyon kwa mkopo
Posted inHabari Michezo

Mshambuliaji wa Real Madrid Endrick ahamia Lyon kwa mkopo

Mshambuliaji kijana wa Kibrazil wa Real Madrid, Endrick, amejiunga na Olympique Lyonnais kwa mkopo hadi mwisho wa msimu, klabu zote zimetangaza Jumanne. Hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo mwenye…
Read More
Lookman aiwezesha Nigeria ushindi wa kusuasua wa 2-1 dhidi ya Tanzania mjini Fes
Posted inHabari Michezo

Lookman aiwezesha Nigeria ushindi wa kusuasua wa 2-1 dhidi ya Tanzania mjini Fes

Ademola Lookman alifunga bao zuri kipindi cha pili na kuipa Nigeria ushindi wa 2-1 dhidi ya Tanzania katika Kundi C la Kombe la Mataifa ya Afrika, mechi iliyochezwa Jumanne chini…
Read More
Nigeria na Tanzania zajiandaa kuumana katika raundi ya kwanza ya Kundi C AFCON
Posted inHabari Michezo

Nigeria na Tanzania zajiandaa kuumana katika raundi ya kwanza ya Kundi C AFCON

Nigeria imekuwa ikiendelea na mazoezi makali kuelekea mchezo wake wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Tanzania katika raundi ya kwanza ya Kundi C, utakaochezwa Jumanne.…
Read More
UNCDF, wadau wajadili mbinu ushirikishwaji wa jamii kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia
Posted inHabari

UNCDF, wadau wajadili mbinu ushirikishwaji wa jamii kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Wadau kutoka sekta mbalimbali za umma na binafsi wamekubaliana juu ya mbinu ya ushirikishwaji wa jamii ili kuharakisha matumizi ya teknolojia za nishati safi ya kupikia nchini Tanzania wakati wa…
Read More
Nigeria Lazima Izuie Kelele Za Nje-kocha
Posted inHabari Michezo

Nigeria Lazima Izuie Kelele Za Nje-kocha

Kocha Mkuu timu ya taifa ya Nigeria, Eric Chelle anasema nchi hiyo inahitaji kupuuza kelele za nje na kusalia kwenye malengo yao ya Kampeni ya Kombe la Mataifa ya Afrika…
Read More
Senegal wajipanga kuivaa Botswana katika mechi ya ufunguzi AFCON
Posted inHabari Michezo

Senegal wajipanga kuivaa Botswana katika mechi ya ufunguzi AFCON

Senegal inaingia kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ikiwa na morali ya juu, ikijiandaa kuikabili Botswana katika mechi ya ufunguzi ya Kundi D itakayochezwa Jumanne mjini Tangier.…
Read More

Posts pagination

Previous page 1 2 3 4 … 9 Next page

Recent Posts

  • KIPIGO CHA TAABU: ASTON VILLA YAISHUSHIA FENERBAHÇE MVUA YA MABAO 6-0
  • MAN CITY 2 PSG 4: LIGI YA MABINGWA ULAYA
  • REAL MADRID YABEBA ALAMA TATU KIBABE UGENINI
  • MVUA YA MABAO AUSTRIA: LIVERPOOL YAINYUKA LASK 6-3 UEFA CHAMPIONS LEAGUE
  • KUZAMA KWA MELI YA MIZIGO KATIKA LANGO LA HORMUZ

Recent Comments

No comments to show.

Archives

  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2025
  • June 2025
  • May 2025
  • April 2025
  • March 2025
  • February 2025
  • January 2025
  • December 2024
  • November 2024
  • October 2024
  • September 2024
  • August 2024

Categories

  • Habari
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • teknolojia
  • Uncategorized
Search
Categories
  • Habari
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • teknolojia
  • Uncategorized
Archives
  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2025
  • June 2025
  • May 2025
  • April 2025
  • March 2025
  • February 2025
  • January 2025
  • December 2024
  • November 2024
  • October 2024
  • September 2024
  • August 2024
Copyright 2026 — Maulid Kitenge. All rights reserved.
Scroll to Top