Mgombea urais wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu amesema kwamba yeye kama amiri jeshi mkuu, hakutakuwa na maandamano yoyote October 29…
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta amesema kuwa anafurahishwa na kujitolea kwa wachezaji wake, lakini akaonya kuwa wanahitaji kujituma zaidi ili kuwania taji msimu huu. Arsenal, ambayo haijafungwa tangu Agosti, iko…
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM…
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amewasili katika Gereza la La Santé jijini Ufaransa kwa ajili ya kuanza kutumikia Kifungo cha miaka 5 jela. Rais huyo amekutwa na hatia…
Wajumbe wa Mpango wa Dhahabu kutoka Uingereza na Ghana wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martin Shigella (katikati) na Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Mhe. Mohammed Gombati (kulia…
Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni Tanzania (CEOrt), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) na Mpango wa Ukuaji wa Kilimo katika Ukanda wa Tanzania (AGCOT),…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa mageuzi ya uchumi na fedha yaliyotekelezwa na Serikali yamekuwa msingi muhimu wa kuijenga Zanzibar…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amempa siku tano (5) Mohamed Mstafa kujisalimisha kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa kabla ya hatua zaidi hazijachukuliwa kuhusiana na sakata…
Wydad Casablanca imeilaza Asante Kotoko katika pambano kati ya wababe wa zamani wa Afrika na Nairobi United iliivuruga Etoile Sahel katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Shirikisho la CAF…
Erling Haaland, Harry Kane na Kylian Mbappe wapo katika vita ya viwango vya bao wafungaji bora watatu wa Uropa. Kabla ya kurejea katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wiki hii,…