Dkt.Samia: Oktoba 29 ni kupiga kura tu si vinginevyo

Dkt.Samia: Oktoba 29 ni kupiga kura tu si vinginevyo

Mgombea urais wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu amesema kwamba yeye kama amiri jeshi mkuu, hakutakuwa na maandamano yoyote October 29 2025 zaidi ya kupiga kura.

” Oktoba 29 maandamano yatakayokuwepo ni ya wale wanaoenda kupiga kura na si vinginevyo,” amesema.

Dkt.Samia ameyasema hayo leo October 21, 2025 katika kampeni za ucahguzi mkuu Jiji Dar es Salaam.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *