Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaongoza kwenye kura za maoni kwa asilimia 84.5 dhidi ya wagombea wenzake wanaochuana katika…
Majaji nchini Cameroon wametupilia mbali wito wa kufutwa kwa sehemu au jumla ya matokeo ya uchaguzi wa urais ambao ulikuwa na mzozo mkubwa, wakisema watatangaza matokeo siku ya Jumatatu. Miji…
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani tayari zipo na maandalizi ya kuanza ujenzi huo yanaendelea. Akizungumza kwenye…
Watu 46 wamefariki baada ya magari kadhaa kugongana kwenye barabara kuu nchini Uganda, polisi wamesema. Polisi walirekebisha idadi ya vifo vya awali ya 63, wakisema kuwa wamejumuisha kimakosa wahanga wengine…
Waziri wa Maji na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Aweso amesema Serikali ina mpango wa kutumia mfumo mpya wa malipo ya huduma ya…
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imekataa rufaa ya kupinga kifungo cha maisha gerezani cha Clinton Damas maarufu kama Nyundo na wenzake watatu, waliohukumiwa kwa kosa la kubaka kwa kundi. Watuhumiwa…
Mchezo muhimu wenye tiketi ya Tanzania kufuzu WAFCON 2026, Twiga Stars dhidi ya Ethiopia utafanyika Azam Complex, Chamazi Jumatano hii saa 11 jioni. Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka nchini…
Klabu ya Yanga Sc imetangaza kuwa mchezo wao wa mkondo wa pili wa hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya Silver Striker Fc ya Malawi ilutakuwa…
Uchaguzi Mkuu nchini Uganda unategemewa kufanyika kati kati ya mwezi Januari, 2026. Hii ni kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda. Rais wa sasa aliyeko madarakani kwa zaidi ya…
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya wanafunzi 1,582,140 wa Darasa la Nne kutoka shule 20,517 nchini wanatarajiwa kufanya Mtihani wa upimaji wa Taifa wa Darasa la…