Dkt.Samia aongoza utafiti Kura za Maoni

Dkt.Samia aongoza utafiti Kura za Maoni

Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaongoza kwenye kura za maoni kwa asilimia 84.5 dhidi ya wagombea wenzake wanaochuana katika kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Takwimu hizo ni kulingana na utafiti wa kura za maoni uliofanywa na Kituo cha Sera za Kimataifa kwa Ukanda wa Afrika (Centre for International Policy- Africa (CIP- Afrika).

Mkurugenzi wa Tafiti na Uchapishaji wa Kituo hicho Bw. Thabit Mlangi amesema mgombea anayefuata katika kura hizo za maoni ni Mhe. Salum Mwalimu, Mgombea wa Urais kupitia CHAUMMA akiwa na asilimia tatu za kura za maoni.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *