Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo ametangaza siku ya Jumatano Oktoba 29,2025 kuwa siku ya mapumziko ili kuwawezesha watumishi wa umma na wafanyakazi kushiriki kupiga kura.
Siku hiyo ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa wagombea Urais. Ubunge na Udiwani

