Borussia Dortmund imeichapa Lille 2-1 nchini Ufaransa katika mechi ya mkondo wa pili wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Jumatano, na hivyo kufanikiwa kutinga robo fainali kwa…
Lionel Messi, ambaye hajacheza mechi tatu za mwisho za Inter Miami, atasafiri hadi Jamaica kwa mechi ya Alhamisi ya Kombe la Mabingwa wa CONCACAF na Cavalier ya Kingston, kocha Javier…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amepanda ndege ya kijeshi kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa King Abdulaziz huko Jeddah, Saudi Arabia, Machi…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe amechaguliwa tena kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Motsepe ambaye amekuwa Rais wa…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita mamlaka hiyo imewachukulia hatua mbalimbali za kisheria na…
Vikosi vya usalama vya Somalia vimefanikiwa kuzuia uvamizi wa wapiganaji wa Kiislamu ambao walivamia hoteli maarufu katikati mwa jiji la Beledweyne, mamlaka ilisema. Mashambulizi ya al-Shabab yalianza kwa mlipuko wa…
Saa chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania kuufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kwa sababu ya uchakavu wa eneo la kuchezea (pitch), Katibu Mkuu…
Shirikisho la soka Barani Afrika ( CAF) limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Dalaam na kuutajka ufanyiwe marekebisho katika eneo lake la kuchezea ( pitch) kwa sababu ya…
Kocha wa Paris St Germain, Luis Enrique amesema timu yake na Liverpool zilistahili kufuzu kwa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, licha ya timu yake kushinda 4-1 katika hatua ya…
Mkufunzi wa Liverpool Arne Slot amesema kuwa kutolewa kwa timu hiyo katika Ligi ya Mabingwa kumeleta mshituko, lakini amefarijika kwa kupoteza dhidi ya timu bora ya Paris St Germain katika…