Skip to content
Maulid Kitenge
  • Habari
  • Kimataifa
  • Siasa
  • Michezo
  • Habari
  • Kimataifa
  • Siasa
  • Michezo
  • facebook.com
  • twitter.com
  • t.me
  • instagram.com
  • youtube.com
Subscribe
Home » Archives for March 2025 » Page 7
Arteta ajivunia Lewis-Skelly kuitwa England
Posted inHabari Michezo

Arteta ajivunia Lewis-Skelly kuitwa England

Mikel Arteta amesema anajivuni kuona beki wa Arsenal Myles Lewis-Skelly ameitwa katika kikosi cha kwanza cha Thomas Tuchel cha Uingereza siku ya Ijumaa. Lewis-Skelly amefurahia mafanikio yake tangu alipopanda kwenye…
Read More
Mwinyi: Tudumishe amani kwa maendeleo
Posted inHabari Siasa

Mwinyi: Tudumishe amani kwa maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza waumini wa dini ya kiislamu kuendelea kuiombea nchi amani wakati huu ikielekea katika Uchaguzi Mkuu. Rais…
Read More
Kiporo cha Simba, kinalika au kitachacha?
Posted inHabari

Kiporo cha Simba, kinalika au kitachacha?

Klabu ya Simba inashuka dimbani katika moja ya mechi zake za viporo dhidi ya Dodoma Jiji. Mechi hiyo inachezwa katika uwanja wa KMC Mwenge Complex jijini Dar es Salaam. Hii…
Read More
Taarifa ya Makamu wa Rais baada ya kuzuiwa Angola
Posted inHabari Siasa

Taarifa ya Makamu wa Rais baada ya kuzuiwa Angola

Baada ya Mamlaka za Angola kutuzuia kwa muda wa takriban Saa Nane (8) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro wa Luanda, Jana Machi 13, 2025, Mimi…
Read More
Trafiki Mlandizi watakiwa kusimamia sheria barabarani
Posted inHabari

Trafiki Mlandizi watakiwa kusimamia sheria barabarani

Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani limewataka askari wa Usalama Barabarani Mlandizi watakiwa kuendelea kusimamia vyema sheria. Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Wilaya ya Kipolisi Mlandizi Msaidizi wa Polisi…
Read More
Posted inUncategorized

Serikali yaisifu CEOrt-Roundtable kuwa kiungo muhimu cha ushirikiano kati yake na sekta binafsi hapa nchini

Serikali imelisifu jukwaa la Wakurugenzi Watendaji (CEOrt -Roundtable) kwa kuendelea kuwa kiungo muhimu cha ushirikiano kati yake na sekta binafsi katika kusaidia ukuaji wa uchumi kupitia sekta mbalimbali za maendeleo…
Read More
Mjumbe wa Urusi adai hajui mpango wa kusitisha vita
Posted inHabari

Mjumbe wa Urusi adai hajui mpango wa kusitisha vita

Msaidizi wa Vladimir Putin amepuuza madai ya usitishaji vita wa muda mfupi na Kyiv, akisema "si chochote ila ni mpango wa muda" kwa Ukraine. Haya yanajiri wakati mjumbe wa Donald…
Read More
Majaliwa azindua kituo cha basi cha bilioni 4 Nzega
Posted inHabari

Majaliwa azindua kituo cha basi cha bilioni 4 Nzega

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha kisasa cha Mabasi cha Nzega mkoani Tabora. Kituo hicho ujenzi wake kimegharimu shilingi bilioni 4.327. Aiongea wakati wa…
Read More
JKT kuwashughulikia wanaofoji vyeti vya jeshi hilo
Posted inHabari

JKT kuwashughulikia wanaofoji vyeti vya jeshi hilo

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesema litawachukulia hatua wale wote wanaofoji vyeti vya mafunzo vya jeshi hilo kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kujipatia ajira. Jeshi hilo limesema kuwa kumekuwa na baadhi…
Read More
Ronaldo ajitoa kuwania Urais wa FA Brazil
Posted inHabari Michezo

Ronaldo ajitoa kuwania Urais wa FA Brazil

Gwiji wa Brazil Ronaldo ametangaza Jumatano kuwa anaachana na wazo la kuwania urais wa shirikisho la soka la nchi hiyo kutokana na kukosa uungwaji mkono kutoka kwa mashirikisho ya kanda.…
Read More

Posts pagination

Previous page 1 … 5 6 7 8 9 … 13 Next page

Recent Posts

  • SIMBA SC KUENDELEZA UBABE NBC PREMIER LEAGUE
  • UCHUNGUZI WA SHAMBULIO LA UWANJA WA NDEGE WA RIYADH
  • WAZIRI DEUS SANGU AZINDUA SEMINA ZA PSSSF KWA WASTAAFU WATARAJIWA
  • JITIHADA ZA TRUMP KUPUNGUZA BEI YA DIZELI NCHINI MAREKANI
  • JOSEPH KABILA AMETAJWA MKUU WA KUNDI JIPYA LA KIJESHI MASHARIKI MWA KONGO

Recent Comments

No comments to show.

Archives

  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2025
  • June 2025
  • May 2025
  • April 2025
  • March 2025
  • February 2025
  • January 2025
  • December 2024
  • November 2024
  • October 2024
  • September 2024
  • August 2024

Categories

  • Habari
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • teknolojia
  • Uncategorized
Search
Categories
  • Habari
  • Kimataifa
  • Michezo
  • Siasa
  • teknolojia
  • Uncategorized
Archives
  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2025
  • June 2025
  • May 2025
  • April 2025
  • March 2025
  • February 2025
  • January 2025
  • December 2024
  • November 2024
  • October 2024
  • September 2024
  • August 2024
Copyright 2026 — Maulid Kitenge. All rights reserved.
Scroll to Top