Trafiki Mlandizi watakiwa kusimamia sheria barabarani

Trafiki Mlandizi watakiwa kusimamia sheria barabarani

Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani limewataka askari wa Usalama Barabarani Mlandizi watakiwa kuendelea kusimamia vyema sheria.

Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Wilaya ya Kipolisi Mlandizi Msaidizi wa Polisi (ASP) Rose Mbaga amekutana na askari wa kikosi hicho na kuwataka kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ili kupunguza ajali.

ASP Rose akiongea na askari hao amewasisitiza kutoa elimu na kuchukua hatua za kisheria kwa madaereva wanao kiuka sheria na taratibu za usalama barabarani.

Mkuu wa kikosi hicho wilaya hiyo ameongeza kuwa endapo askari wa watatekeleza majukumu yao kikamilifu kwa mujibu wa sheria ajali katika wilaya zitakuwa historia.

Pia amewata kuchua hatua kwa baadhi ya madereva wanaozidisha abiria huku akiwataka kuendelea kusimamia muda wote watumiaji wa Barabara ili kupunguza ajali.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *