Nicole Berry afikishwa mahakamani

Nicole Berry afikishwa mahakamani

Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole Berry amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo tuhuma ya kuendesha upatu mtandaoni. Kamanda…
Mwakinyo yu bado mikononi mwa Polisi

Mwakinyo yu bado mikononi mwa Polisi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anayetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni mwizi. Akizungumza…