Nyota wa Tanzania Diana Lucas ameisaidia timu yake ya Trabzonspor kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Besiktas kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki.
Diana amefunga bao moja kwenye mchezo huo.
Nyota huyo amekuwa na mchango mkubwa na ni mchezaji muhimu katika timu ya taifa ya wanawake hapa nchini.

