Wachezaji wamuaga Jota

Wachezaji wamuaga Jota

Wachezaji wa Liverpool na wengine kutoka timu mbalimbali wamejumuika pamoja na familia mjini Gondomar kushiriki mazishi ya Diogo Jota na kaka yake André Silva. Virgil van Dijk na Andy Robertson…
Partey ashitakiwa kwa ubakaji

Partey ashitakiwa kwa ubakaji

Mchezaji wa zamani wa Arsenal Thomas Partey ameshtakiwa kwa makosa matano ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono. Makosa hayo yanaripotiwa kutokea kati ya 2021-2022, Polisi wa Metropolitan walisema.…
Jota wa Liverpool afariki dunia

Jota wa Liverpool afariki dunia

Mshambuliaji wa Liverpool Mreno Diogo Jota, 28, amefariki katika ajali mbaya ya gari karibu na Zamora kaskazini-magharibi mwa Uhispania akiwa na kaka yake, kituo cha televisheni kinachomilikiwa na serikali ya…
Majaliwa kutogombea Ubunge

Majaliwa kutogombea Ubunge

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kutokugombea tena (kustaafu) Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, Lindi baada ya kulitumikia kwa muda wa miaka 15 mfululizo…