Posted inHabari
Rais Liberia kuzikwa tena baada ya miaka 45
Rais wa zamani wa Liberia William Tolbert anatazamiwa kuzikwa upya siku ya Jumanne, miaka 45 baada ya kuuawa wakati wa mapinduzi na mwili wake unaoaminika kutupwa kwenye kaburi la pamoja.…

