Villarreal imefuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya mabingwa wapya wa LaLiga Barcelona. Barcelona tayari wametawazwa mabingwa ambapo siku ya Ijumaa walisherehekea taji lao la…
Arsenal imejikatia tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa kufuatia bao la Declan Rice lililoipa ushindi wa 1-0 dhidi ya wapinzani wao Newcastle United. Bao hilo zuri la Rice kipindi cha…
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Murtaza Mangungu ameambatana na wajumbe wa bodi, Dkt. Seif Muba na CPA Issa Masoud kukutana na viongozi wa matawi kujadili maandalizi ya mchezo wa marudiano…
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais wa Tanzania kuhusu Masuala ya Afya, Pro. Mohamed Janabi amechanguliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa Shirika la Afya Duniani (WHO)…
Borussia Dortmund itacheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao baada ya ushindi wa 3-0 nyumbani dhidi ya wachezaji Holstein Kiel iliyokuwa na wachezaji 10 uwanjani siku ya Jumamosi. Wakiwa katika nafasi…
Barcelona walistahili ubingwa wa LaLiga kwa sababu kikosi cha Hansi Flick kilicheza mchezo huo kwa uthabiti na uzuri, meneja wa Real Madrid Carlo Ancelotti alisema kabla ya mechi yao ya…
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah alisema Trent Alexander-Arnold, ambaye anatazamiwa kuondoka baada ya miaka 20 toka ajiunge na klabu hiyohastahili kuzomewa na mashabiki hata kidogo Salah, ambaye anaongoza ligi akiwa…
Crystal Palace imeifunga Manchester City 1-0 katika fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Wembley Jumamosi na kushinda kombe la kwanza kubwa katika historia ya klabu hiyo. Kiungo wa kati…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei,…
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika Simba leo usiku wanashuka dimbani nchini Morocco katika mechi ya fainali ya mkondo wa kwanza ya michuano hiyo dhidi…