Mabingwa watetezi Yanga leo wanashuka tena dimbani dhidi ya wenyeji JKT Tanzania katika mchezo wa ligi Kuu utakaochezwa katika uwanja wa Azam Complex chamazi nje kidogo ya jiji la Dar…
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo Jumanne Oktoba 22 2024 ambapo mnyama Simba atakuwa ugenini jijini Mbeya katika uwanja wa Sokoine dhidi ya wenyeji Tanzania Prisons. Simba wanakutana na…
Misri imeidhinishwa kuwa haina malaria na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) - mafanikio ambayo yamepongezwa na shirika la Umoja wa Mataifa la afya ya umma kuwa "ya kihistoria kweli". "Malaria…
Baada ya kuwafunga watani wao wa jadi Simba 1-0 katika dabi, kocha wa Yanga Miguel Gamondi sasa anaelekeza nguvu katika mechi yao nyingine ya Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania.…
Baada ya kupoteza 0-1 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga, Simba sasa inatafuta pointi tatu muhimu kwa Prisons katika mechi yao ya kesho Oktoba 22,2024 jijini Mbeya. Yaliyopita yamepita…
Beki wa Manchester City John Stones amefunga kwa kichwa bao la ushindi wa dakika za mwisho katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers Jumapili na kuwaweka kileleni mwa Ligi…
Wakili wa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Msumbiji ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu Maputo pamoja na afisa wa chama kimoja. Elvino Dias alikuwa wakili wa Venâncio Mondlane, ambaye…
Raia wa Uingereza ameiambia BBC kuwa yeye na raia kadhaa wa Uturuki walitekwa nyara katika mji mkuu wa Kenya Nairobi na watu waliojifunika nyuso zao siku ya Ijumaa, huku raia…
AC Milan ikiwa na wachezaji 10 imeishinda Udinese 1-0, ushindi ambao uliwafanya mabingwa hao mara saba wa Uropa kuwa pointi mbili nyuma ya vinara wa Serie A, Napoli. Kikosi cha…
Mbio za Kimataifa za Masafa Marefu za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon zimezinduliwa rasmi Ijumaa kwenye ukumbi wa mikutano ya Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kuanza kwa mbio hizo…