AC Milan ikiwa na wachezaji 10 imeishinda Udinese 1-0, ushindi ambao uliwafanya mabingwa hao mara saba wa Uropa kuwa pointi mbili nyuma ya vinara wa Serie A, Napoli.
Kikosi cha Paulo Fonseca kiko nafasi ya tatu na kuwa na pointi 14 sawa na Inter Milan.

