Emerson atua Milan

Emerson atua Milan

AC Milan imemsajili beki wa Brazil Emerson Royal kutoka Tottenham Hotspur, klabu hiyo ya Serie A imetangaza. Katika taarifa yake, Milan ilisema kwamba Emerson "amesaini mkataba na Rossoneri hadi 30…