Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mageuzi ya kiuchumi ya Indonesia katika sekta mbalimbali kama vile uchimbaji wa mafuta na gesi,…
Takriban watu 20 wameuawa na mashambulio ya Israel huko Nuseirat, katikati mwa Gaza, vyanzo vya habari vimesema. Kuzingirwa kwa mji wa Jenin na wanajeshi wa Israel kunawafanya wakaazi wa Palestina…
Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Forum on China-Africa Cooperation - FOCAC) utakaofanyika kuanzia Septemba…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na MazingiraKhamis Hamza Khamis amesema kuwa Serikali haitamvumilia askari yeyote atakayejihusisha na uhalifu. Msheshimiwa Khamis ameyasema hayo bungeni na kuongeza kuwa lengo…
Israel imekubali kusitisha mapigano ili kupitishwa kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza, ikiwemo chanjo ya watoto dhidi ya polio, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema. Kampeni hiyo italenga kutoa chanjo…
Serikali kwa kushirikiana na wadau ina mpango wa kupanda miti bilioni moja katika mikoa ya Kaskazini, ukiwemo mkoa wa Kilimanjaro ili kusaidia uhifadhi wa theluji katika mlima Kilimanjaro. Naibu Waziri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya pamoja na viongozi wengine…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwekeza zaidi katika sekta ya elimu kwa kujenga miundombinu bora na kuboresha maslahi ya…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema itakuwa vyema uwanja wa Suluhu visiwani Zanzibar kutumika katika michuano ya Afrika ya Ligi za ndani (CHAN) inayotarajiwa kufanyika Visiwani Zanzibar mapema mwaka 2025. Akihutubia…
Raia wengi wa Nigeria wamekasirishwa na kughadhabishwa baada ya ndege mpya kununuliwa kwa ajili ya Rais Bola Tinubu wakati ambapo uchumi wa nchi hiyo unakumbwa na mzozo mbaya zaidi katika…