Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali, kulingana na taarifa iliyotolewa na Ikulu.
Miongoni mwa aliowateua ni Profesa Paramagamba Kabudi, ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Sheria.
Na miongoni mwa mabadiliko ni Jenister Mhagama kuwa Waziri wa Afya.
Uteuzi na uhamisho kamili huu hapa:





