Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Agosti, 2024.
Rais Samia apokea hati za utambulisho Balozi wa Rwanda

