Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema leo, Aprili 19, 2025, kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, amehamishiwa Gereza la Ukonga.
Taarifa huu inakuja baada ya Lissu kudaiwa kupelekwa asipojulikana akiwa mikononi mwa mamlaka.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, familia, wanachama na wananchi sasa wanaweza kumtembelea kwa kufuata taratibu za gerezani.

