Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Dkt. Mary C. Levira amesema kuwa Chuo kina…
Kocha wa Bayern Munich, Vincent Kompany, amejiuliza maswali kuhusu sherehe za kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa na kusisitiza kuwa akili yake yote imeelekezwa katika kuikaribia taji la Bundesliga. Kompany,…
Barcelona imekumbwa na jinamizi lingine nyumbani baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Atletico Madrid katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL)…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amesema yuko tayari na anakaribisha uchunguzi wowote wa tuhuma za rushwa ndani ya shirika hilo, akisisitiza kuwa hawana cha…
Paris St Germain (PSG) wameondoka na ushindi wa mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Liverpool katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) uliopigwa Jumatano usiku.…
Uongozi wa Iran umekubali pendekezo la kusitisha mapigano kwa kipindi cha wiki mbili, hatua inayotajwa kuwa sehemu ya juhudi za Kidiplomasia za kupunguza mvutano kati ya Iran na Marekani. Taarifa…
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupitia mtandao wa kijamii kuwa amekubali kusitisha mashambulizi ya Kijeshi dhidi ya Iran kwa kipindi cha wiki mbili kabla ya tarehe ya mwisho aliyoiweka…
Miamba ya Ujerumani, Bayern Munich, imetawala dimba la Santiago Bernabéu usiku wa Jumanne kwa kuibuka na ushindi muhimu wa 2-1 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza wa robo…
Arsenal imepata ushindi muhimu wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya Sporting CP katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) uliopigwa Jumanne usiku. Bao…
Manchester United imetangaza rasmi kumuongezea mkataba beki wake mkongwe, Harry Maguire, mkataba utakaomfanya kusalia klabuni hapo hadi Juni 2027, kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi. Beki huyo wa…