Afariki kwa mshtuko wa moyo akiwa kwenye boti

Afariki kwa mshtuko wa moyo akiwa kwenye boti

Mwanamume mmoja amefariki baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa ndani ya boti iliyokuwa ikijaribu ikielekea Uingereza.

Boti hiyo iligeuka nyuma kuelekea ufuo wa Equihen kwenye pwani ya Ufaransa jana asubuhi.

Mamlaka ya Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo.

Hata hivyo, msemaji wa Madaktari Wasio na mipaka amekosoa mamlaka kwa kifo hicho.

“Bado tuna msiba ambao ni matokeo ya sera mbaya zisizo na tija za usalama zinazotekelezwa na Uingereza na Ufaransa, ” alisema msemaji wa umoja huo

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *