Polisi wadaiwa kumuua mwanahabari Kenya

Polisi wadaiwa kumuua mwanahabari Kenya

Mwanablogu Mkenya aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi alipigwa kichwani na huenda kifo chake kilisababishwa na kushambuliwa, uchunguzi wa maiti umefichua. Hii inakinzana na madai ya polisi kwamba Albert Ojwang "alipata…