Manchester United ilitoka nyuma kwa mabao 4-2 katika muda wa ziada na kuwashinda Lyon 5-4 katika robo fainali ya Ligi ya Europa na kusonga mbele kwa jumla ya 7-6. Ilikuwa…
Kijana mmoja alitumia bunduki ya baba yake afisa wa polisi kuwaua wawili katika chuo cha Florida, polisi wamesema. Maafisa wa Florida wamtaja mshukiwa aliyefanya mauaji kuwa ni mtoto wa afisa…
Mjumbe Maalumu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Jakaya Kikwete, amekutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré. Mkutano huo umefanyika jijini Ouagadougou, leo Aprili 17, 2025, na kuhudhuriwa na…
Takriban watu wanne wamefariki na mwingine kujeruhiwa baada ya gari waliokuwa wakisafiria kuanguka chini nchini Italia. Maafisa wamesema gari hiyo ilipata hitilafu na kusababisha ajali hiyo kusini mwa Naples. Gavana…
Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk amesaini mkataba mpya na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Beki huyo wa kati wa Uholanzi mwenye miaka 33, ambaye mkataba wake wa…
Shirika la Biashara Duniani (WTO) limetabiri kuwa biashara ya kimataifa itashuka mwaka huu kwa sababu ya ushuru wa rais wa Marekani Donald Trump. Iliongeza "hatari mbaya", ikiwa ni pamoja na…
Waziri wa ulinzi wa Israel amesema wanajeshi watasalia katika ukanda wa Gaza katika kile kinachoitwa kulinda usalama kwa kuyateka maeneo makubwa ya Gaza hata baada ya kumalizika kwa vita. Israel…
“Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja shughuli za…
Klabu ya Simba imewasili Zanzibar kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya siku chache zilizobaki kuelekea Mechi ya hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali kuzingatia diplomasia ya uchumi na kuzitangaza fursa za uwekezaji ziliopo.…