Stars yaanza vyema CHAN

Stars yaanza vyema CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vyema mashindano ya kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2024 kwa ushindj wa 2-0 dhidi ya Burkina Faso 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Magoli hayo mawili yamefungwa na Sopu pamoja na Mohamed Hussen.

Tanzania ipo Kundi B la michuano hiyo sambamba na Mauritania, Madagascar, Jamhuri ya Afrika ya kati na Burkina Faso.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *