Ruto awasili Arusha kuhudhuria mkutano wa EAC

Ruto awasili Arusha kuhudhuria mkutano wa EAC

Rais wa Kenya William Ruto, amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) nchini Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha 24 cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Kikao hicho, kitakachofanyika Novemba 30, kinahudhuriwa na wakuu wa nchi wanachama.

Pamoja na mambo mengine, pia mkutano huo utaadhimisha maadhimisho ya miaka 25 toka kuanzishwa kwa Jumuiya hiyo.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *