Profesa Sarungi afariki dunia

Profesa Sarungi afariki dunia

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Rorya mkoani Mara na Waziri katika wizara mbalimbali Profesa Philemon Sarungi amefariki dunia leo Machi 05, 2025 mkoani Dar es Salaam, kwa mujibu wa taarifa kutoka katika familia yake.

Maria Sarungi, mtoto wa marehemu amethibitisha kifo hicho.

Profesa Sarungi aliyewahi kuwa Waziri wa wizara mbalimbali ikiwa ni pamoja na Afya na Elimu alizaliwa Machi 23,1936.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *