Kupitia ukurasa wake wa kijamii, klabu ya Yanga imeandika ‘ Wa kwetu bado anabaki, bado wa kwenu’ El Profesa Pacome.
Maneno hayo yanathibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua ataendelea kusalia klabuni hapo kwa msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027.

