Kikao CCM chamalizika usiku huu

Kikao CCM chamalizika usiku huu

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa kilichokutana leo Jumatatu, July 28, 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu kimemalizika usiku huu .

Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na wajumbe wengine wameonekana wakitoka kikaoni baada ya kikao hicho kumalizika.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Gabriel Makalla anategemewa kuzungumza na waandishi wa juu ya kikao hicho cha kuchuja wagombea nafasi ya ubunge.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *