Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 13, 2024 amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba ( VP) , mheshimiwa Salvador Valdes Mesa.
Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole yamefanyika Revolutionary Square, Havana.

