Waziri wa Sheria wa Congo matatani

Waziri wa Sheria wa Congo matatani

Waziri wa sheria nchini Kongo Constant Mutamba atahojiwa na kamati ya bunge kwa tuhuma za ufisadi.

Anatuhumiwa matumizi mabaya ya karibu dola milioni 20 zilizotengwa kwa ajili ya fidia ya vita.

Spika wa bunge Vital Kamerhe amesema bunge la kitaifa litateua kamati maalum kumhoji Mutamba kabla ya kupiga kura ya kuamua iwapo waziri huyo atashtakiwa au la.

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *