Dkt.Nchimbi apewa kifimbo cha heshima

Dkt.Nchimbi apewa kifimbo cha heshima

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekabidhiwa fimbo maalumu ya heshima na familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere akiwa ziarani katika kijijini Mwitongo, Butiama alipozaliwa Mwalimu…